Mafunzo Mkoani Mtwara
01 Oct, 2022
WRRB yafanya mafunzo kwa Waendesha Ghala wote,Mafunzo hayo yalifanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 24 hadi 26 Septemba 2022. Mkoani Mtwara kwenye chuo cha STEMMUCO Mtwara.