RAIS DKT. SAMIA AMUAPISHA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHESHIMIWA PATROBAS KATAMBI
RAIS DKT. SAMIA AMUAPISHA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHESHIMIWA JUDITH KAPINGA
BODI YA WAKURUGENZI YA WRRB YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WAKE KUFUATIA KUKAMILKA KWA MUDA WAKE WAKIKAZI
“Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera, akitembelea ghala la kuhifadhia mazao katika Wilaya ya Karatu, akiwa katika ziara ya kikazi kukagua shughuli za Mfumo wa Stakabadhi za ghala
TANZANIA YASHIRIKI KONGAMANO LA TANO (5) LA BIASHARA NA UCHUMI KATI YA UTURUKI - AFRIKA, INSTANBUL
WRRB NA UDOM WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO
KAMATI YA USAILI WA WAENDESHA GHALA KWA MSIMU WA KOROSHO YAFANYIKA MTWARA
HITIMISHO LA MAFUNZO YA WATENDAJI WA GHALA MKOANI MTWARA
UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA CHEMBA YA WAFANYABIASHARA NCHINI UTURUKI
TANZANIA YAAENDELEA KUFUNGUA SOKO LA MAZAO KIMATAIFA
Bodi ya Stakabadhi za Ghala ni taasisi iliyochini ya wizara ya viwanda na biashara. Taasisi hii ilianzishwa chini ya Warehouse Receipts Act No. 10 ya mwaka 2005 na Act No 3 ya 2015 iliyorekebishwa 2016. Kazi ya taasisi ni kusimamia na kuhamasisha matumizi ya mfumo wa stakabadhi ghalani unaohakikisha...