Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
STAKABADHI GHALANI IMEKUJA KUTUINUA WAKULIMA
14 Jan, 2023
STAKABADHI GHALANI IMEKUJA KUTUINUA WAKULIMA

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Mhe. Wangala amewasihi wakulima wa kilimo cha ufuta Wilayani Songwe wajiunge na vyama vya ushirika ambavyo vitawasaidia kuwa na kilimo chenye tija na manufaa kwao na Halmashauri.