Viwanja vya nanenane ,Nzuguni Dodoma
07 Aug, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala(WRRB) Asangye Bangu ametembelea mabanda mbalimbali ya Vyama vya Ushirika na kujionea namna wanavyotekeleza shughuli zao ikiwemo matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala