Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
MKURUGENZI MTENDAJI Bw. ASANGYE BANGU AWATEMBELEA WAKULIMA WA IFAKARA NA MLIMBA KUHUSU MABORESHO YA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA
12 Jul, 2025
MKURUGENZI MTENDAJI Bw. ASANGYE BANGU AWATEMBELEA WAKULIMA WA IFAKARA NA MLIMBA KUHUSU MABORESHO YA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA

Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala Ndugu. Asangye Bangu, amefanya ziara katika maeneo ya Ifakara na Mlimba kwa lengo la kuzungumza na wakulima kuhusu maboresho ya mfumo wa stakabadhi za ghala. Katika ziara hiyo, amesisitiza umuhimu wa kuanzisha kamati za usimamizi wa mfumo huo katika ngazi ya wilaya ili kuhakikisha uwazi, ufanisi, na usalama wa mazao ya wakulima