Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
TANGAZO LA MAFUNZO
20 Jul, 2024 DOWNLOAD

TANGAZO LA  MAFUNZO.

Bodi inapenda kuwajulisha waombaji leseni na wadau wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kuwa imeandaa mafunzo ya wafanyakazi wa ghala wapya, yanayotarajia kuanza tarehe 24 hadi 27 Julai 2024 katika Ukumbi wa ofisi za Bodi (WRRB) zilizopo Mtaa wa Nyerere jijini Dodoma.