Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
TANGAZO KWA WAENDESHA GHALA WOTE
04 Jul, 2022 DOWNLOAD

Bodi (WRRB) inapenda kuwajulisha waombaji leseni na wadau wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kuwa imeandaa mafunzo ya wafanyakazi wa ghala kuanzia tarehe 24 hadi 26 Septemba ,2022 katika Ukumbi wa Chuo cha Kilimo Mtwara (MATI) Mkoani Mtwara.